send link to app

Tupike Kijapani


4.0 ( 0 ratings )
Health & Fitness Eten en drinken
Developer: 力 彭
Gratis

Vyakula vya Kijapani si vitamu tu bali pia vinawakilisha utamaduni na desturi za Wajapani. Huenda ukasema, "Ninataka kujaribu mapishi ya vyakula hivi, lakini sina viambato vifaavyo. " Usijali ! Tutakuonyesha njia mbadala. Pia tunakaribisha mapishi yako ya vyakula vya mtindo wa Kijapani kwa kutumia mahitaji yanayopatikana huko kwenu.

Wasifu wa Mkufunzi
Mtaalam wa Upishi, Akiko Watanabe
Watanabe ana tajiriba ya zaidi ya miaka 25 kama mtaalamu wa upishi. Yeye ni maarufu kwa ujuzi wake katika upishi wa vyakula vya Kijapani vya nyumbani, hasa vile vya mitindo ya kiasili. Pia ana ujuzi mkubwa wa vyakula vya kienyeji vya maeneo mbali mbali kote nchini Japani. Akiwa kama mama wa mtoto mmoja wa kiume, amejitolea kufundisha upishi ulio rahisi.